Ukumbi wa Salama Bwawani Usiku huu ukiwa katika hali ya kusubiriwa kutolewa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2015.
Waandishi
wa habari wa Kituo cha Utangazaji cha ZBC Zanzibar wakiwa ukumbi wa
Salama Bwawani kuripoti moja kwa moja kutoka ukumbini hapa kuwataarifu
Wananchi matokeo ya Uchaguzi Zanzibar.muda wowote yanaweza kutangazwa
ukumbi hapo baadhi ya majimbo ya uchaguz, yatatangazwa na Tume ya
Uchaguzi Zanzibar.
Mafundi
mitambo wa ZBC wakiweka sawa mitambo yao kwa ajili kutowa Taarifa ya
Matokea ya Uchaguzi wa Zanzibar kutoka moja kwa moja katika ukumbi wa
Salama Bwawani.
Waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya
Uchaguzi Mkuu usiku huu na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.
Waandishi
wa Habari wa Kituo cha Redio cha Swahiba FM wakiwa tayari kuripoti
matokeo ya Uchaguzi kutoka Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
Mawakala
wa Vyama Vyama vya Siasa wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani
wakisubiri kutangazwa kwa Matokea ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.
Waandishi
wakiwa nje ya Ukumbi wa Salama wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo ya
Uchaguzi Zanzibar usiku huu, kupata habari za Uchaguzi.
Waangalizi
wa Ndani wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Salama
Bwawani wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar
usiku huu.
Mawakala wa Vyama vya Siasa Zanzibar wakisubiri kutangaza kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar usiku huu.
Wapiga
picha Zanzibar wakiwa wakiwa usiku huu katika ukumbi wa Salama Bwawani
wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar.
Waandishi
wa habari na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2015, wakiwa
katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa
Zanzibar.
Mpiga
Picha za Vidio Zanzibar wa Zanzibar Cable akipata kahawa wakati wa
kusubiri kutangazwa kwa matokeo usiku huu katika ukumbi wa Salama
Bwawani Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni