Mmoja wa wakazi wa Kijitonyama mpakani akipiga Kura yake
KITUO CHA KUPIGIA KURA NZASA Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Nzasa wakiwa wanangoja kupiga Kura Bado wakazi wa Nzasa wanangoja kupiga Kura Baadhi ya wakazi wakihakiki majina yao ili kujua wanatakiwa wakae sehemu gani kabla ya kupiga kura Ulinzi pia ukiwa umeimarishwa hali ni Shwari Leo shughuli zimesimama kupisha uchaguzi mkuu
KITUO CHA KUPIGIA KURA CHA KENTON Baadhi ya wakazi wakihakiki majina yao kabla ya kuingia kwa ajili ya kupiga Kura 2015 Watu mbalimbali wakingojea kupiga Kura
KITUO CHA KUPIGIA KURA CHA USTAWI WA JAMII Hapa ni Chuo cha Ustawi wa Jamii ambapo pia kuna watu wamejitokeza kwa wingi kupiga Kura Mmoja ya wazee akiwa anasaidiwa kutembea kwenda kupiga Kura
KITUO CHA KUPIGIA KURA CHA MPAKANI A KIJITONYAMA Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika kituo hiki cha Mpakani Kijitonyama Kazi zikiwa zinaendelea

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni