MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, MH AMOS MAKALLA ATEMBELEA BENKI YA NMB TAWI LA MOSHI MJINI

Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro, Mh Amos Makalla ( kulia ) akipata chai asubuhi hii katika tawi la benki ya NMB. Kushoto kwake ni Emanuel  Kishosha- Meneja wa Tawi hilo.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Amos Makalla leo asubuhi ameshiriki chai na wafanyakazi na wateja waNMB Tawi la Moshi na kuipongeza benki ya NMB kwa kuwa benki 10 bora Afrika mashariki, benki inayoongoza kwa kuwa na matawi mengi nchini, benki inayoongoza kwa kutengeneza faida na kusaidia jamii, benki ya riba na gharama nafuu nchini na benki yenye huduma bora kwa wateja nchini
 

Pamoja na mafanikio hayo ameishauri benki hiyo kuendelea kuwa wabunifu wa bidhaa na kuendeleza huduma bora hasa katika kipindi hiki cha ushindani

                                                    Mkuu wa mkoa akiongea katika hafla hiyo



You might also like:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni