Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia
wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean, kulikofanyika
Mkutano wa Kampeni, Oktoba 21, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia
wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean,
katika Mkutano wa Kampeni,Oktoba 21, 2015.
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa
Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, Oktoba 21, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi
ya Chama cha Wananchi CUF, Mussa Bakar Mbarouk, wakati wa Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika kwenye viwanja vya
Indian Ocean, Jijini Tanga, Oktoba 21, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akiwanandi kwa wananchi, Wagombea wa nafasi ya Udiwani, Jijini Tanga.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni