Bilionea James Packer amefungua
jengo jipya ya kifahari la dola bilioni 3.2 la Casino lijulikanalo
kama Studio City huko Macau.
Casino hiyo imefunguliwa kwa msaada
wa nyota wa filamu ya A-Listers Robert De Niro, Leonardo DiCaprio
pamoja na Martin Scorsese.
Pia mpezi wa Packer mwanamuziki
Mariah Carey alikuwepo ufunguzi wa jengo hilo la kifahari lenye
vyumba 1,600 likiwa na bwawa la kuogelea.
Muonekano wa bwawa la kuogelea katika jengo hilo la casino
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni