Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiongea na
wananchi wa Ruaha katika viwanja vya Tem K2 Ruaha leo Ijumaa 23/10/2015
Mgombea
ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya Mikumi
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa pamoja
na kuzungumza na wananchi waliofika katika viwanja vya Tem k2, leo
Ijumaa 23 Oktoba 2015
Wananchi wakishangilia katika mkutano huo
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa pamoja na Mhe.
Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha, leo Ijumaa
23/10/2015. Kwa hisani ya ZanziNews
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni