ULINZI MAKALI WAIMARISHWA MJINI MOSHI WAKATI MATOKEO YAKISUBIRIWA KUTANGAZWA

 Askari wa jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa wameimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wafuasi wa vyama mbalimbali wakisubiri kutangaziwa matokeo.
Wafuasi wa vyama mbalimbali vilivyoshiriki uchaguzi mkuu hapo jana, wakiwa mtaani mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wakisubiri kutangaziwa matokeo.
                                                                     Hali hali ilivyo mjini Moshi asubuhi ya leo


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni