Picha kutoka maktaba.
Mwanamuziki
mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini , Joseph Haule ( Profesa Jay )
ameshinda kiti cha ubunge jimbo la Mikumi mkoani Morogoro kwa tiketi ya
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) .
Akitangaza
matokeo hayo, msimamizi wa uchaguzi huo ambaye ni Mkurugenzi wa
Halmashauri ya wilaya ya Kilosa, Bw Idd Mshiru amesema katika uchaguzi
huo, Joseph Haule ( Profesa Jay ) ameshinda baada ya kupata jumla ya
kura 32,256.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni