| Balozi Mangibin akizaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam | 
| Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kushoto) akisalimiana na Balozi Mangibin (kulia). | 
| Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mangibin. | 
| Picha ya pamoja =========Balozi wa Singapore | 
| Balozi wa Singapore nchini Tanzania, Mhe. Tan Puay Hiang akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais. | 
| Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula (kushoto) akisalimiana na Balozi Tan Puay Hiang (kulia) | 
| Mhe. Rais Kikwete akizungumza na Balozi Hiang mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho kama Balozi mpya wa Singapore hapa nchini. Kushoto ni Afisa aliyefuatana na Balozi Hiang. | 
.......Balozi wa Misri
| Mhe. Rais Kikwete akimkaribisha Balozi Elshawaf. | 
| Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Elshawaf, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. | 
| Balozi Elshawaf akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Samwel Shelukindo | 
| Balozi Elshawaf akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. | 
| Picha ya pamoja | 
| Mhe. Rais Kikwete akiwa kwenye mazungumzo na Balozi mpya wa Misri hapa nchini Mhe. Elshawaf | 
Mazungumzo yakiendelea
......Balozi wa Israel | 
| Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Vilan, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula. | 
| Balozi Vilan akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Elibariki Maleko. | 
| Balozi Vilan akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga | 
| Balozi Vilan akisalimiana na Bw. Batholomeo Jungu, Afisa Mambo ya Nje | 
| Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Vilan | 
| Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Vilan na Balozi Mulamula | 
| Balozi Elshawaf (katikati) akipokea heshima ya wimbo wa taifa mara baada ya kuwasili Ikulu. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage na kushoto Mnikulu. | 
| Bendi ya polisi ikipiga wimbo wa taifa wa Misri kwa heshima ya Balozi Elshawaf | 
| Balozi Elshawaf akisalimiana na Bw. Celestine Kakele, Afisa Mambo ya Nje | 
| Balozi Elshawaf akisalimiana na Kiongozi wa Bendi ya Polisi.  Picha na Reginald Philip  | 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni