50 CENT AZIDI KUPUNGUZA BEI YA JUMBA LAKE LA KIFAHARI

Rapa 50 Cent ameshusha thamani ya jumba lake lililopo Connecticut, Marekani kwa mara nyingine tena katika jitihada za kutaka kuliuza jumba hilo la kifahari.

Jengo hilo lenye ukuwa wa mita za mraba 50,000 lipo huko Farmington, linavyumba 21 pamoja na mabafu 25 lsasa imeorodheshwa kuuzwa kwa bei ya dola milioni 8.5.

Rapa huyo ambaye jina lake halisi ni Curtis Jackson III, awali alitangaza kuliuza jengo hilo kwa dola milioni 18.5 mwaka 2007, lakini amekuwa akilishusha thamani kila mara kutokana na kukosa mteja wa kulinunua.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni