TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA MATOKEO YA AWALI MAJIMBO MATATU
posted on
Jaji
Lubuva akitangaza matokeo ya awali ya nafasi ya Urais katika Majimbo
matatu yaliyopokelewa na tume ya uchaguzi asubuhi ya leo katika Ukumbi
wa mikutano wa Mwl Nyerere jijini Dar Es Salaam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni