Kaimu meneja wa TCRA mkoani hapa akipokea zawadi kwa niaba ya meneja wa kanda Bi Aneth Matindi kutoka kwa meneja uhusiano wa kampuni ya Halotel akiwa na mkurugenzi wake wa kituo cha Arusha Tran Dond. |
Kamanda wa Jeshi la polisi Liberatus Sabas akipata maelezo ya bidhaa mbali mbali za kampuni ya Halotel kwenye duka lao lililopo kwenye Jengo la Makazi la wizara ya ujenzi jijini hapa. |
WAFANYAKAZI WA TCRA wakiangalia bidhaa za kampuni ya halotel baada ya duka hilo kuzinduliwa ikiwa ni mwanzo wa utoaji wa huduma za simu za mkononi kwa kampuni hiyo kutoka nchini Vietnam |
WAGENI WAALIKWA WAKIPATA MAELEZO NA KUANGALIA BIDHAA ZA KAMPUNI HIYO YA HALOTEL |
Mgeni mwalikwa akiwa na meneja uhusiano wa kampuni hiyo wakifuatilia shughuli hiyo |
Garald Kilufi ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Arusha akitoa hotuba kabla ya kuzindua ofisi za kituo cha Arusha za Kampuni ya HALOTEL |
wafanyakazi wa TCRA wakifuatilia bidhaa za Kampuni ya HALOTEL jana jijini Arusha |
Zawadi kwa niaba ya meneja wa Kanda wa TCRA Aneth Matindi |
Maneja masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Halotel akitoa Maelezo kwa kaimu mkuu wa mkoa Gerald Kilufi na wageni waalikwa akiwemo RPC mkoa wa Arusha Liberatus Sabas | ||||||
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni