Viongozi
wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri
matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa
Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio
kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar.
Waangalizi
wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri
kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar
ZEC.
Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri kutangaza kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar.
Waangalizi
wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kutoka Nje wakiwa katika Ukumbi wa Salama
Bwawani wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar
mchana huu.
Watu
Wenye Ulemavu wa kutokisia wakiwa Ukumbi wa Salama Bawani wakipata
taarifa ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kupitia kwa mkalimani
wao wa lugha ya ishara wakisubiri kutangazwa kwa matokeo hayo.
Mawakala wa Vyama vya Siasa Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar.
Waangalizi
wa Ndani wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakifuatilia kutangazwa kwa
matokeo ya Wagombea Urais wa Zanzibar. Kwa hisani ya ZanziNews
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni