HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA NANI KAMA MAMA NA BALOZI WA HESHIMA WA LUGHA YA KISWAHILI AFRIKA 2015.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI), Dkt Ernesta Mosha akizungumza wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya heshima ya Balozi wa kiswahili Afrika jijini Dar es Salaam. ????????????????????????????????????
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akizungumza wakati wa hafla ya heshima ya Balozi wa kiswahili Afrika jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Temeke ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto) akineonesha Tuzo aliyokabidhiwa kwa niaba ya Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.ya Balozi wa heshima wa lugha ya kiswahili Afrika 2015 kutokana na matumizi yake
ya Kiswahili ndani na nje ya Afrika.
 Wageni waalikwa .
Wageni waalikwa .
 Picha ya pamoja

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni