Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipiga kura kumchagua Rais, Mbunge na Diwani
katika kituo cha kupiga kura kilichopo kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata
ya Kibaoni wilayani Mlele Oktoba 25, 2015.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mototo aliyezaliwa usiku
wa kuamkia tarehe 25,-10-2015 na kupewa jina la Magufuli katika kituo
cha Afya cha Kibaoni wilayani Mlele Oktoba 25, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni