Mbunge mteule wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ), Mh Joshua Nasari akiwasalimia
wafuasi wa chama chake na wananchi kwa ujumla muda mfupi tu baada ya
kutangazwa kushinda nafasi ya ubunge wa jimbo hilo na Mkurugenzi wa
uchaguzi, Damari Mchome. Mh Nasari amepata jumla ya kura 86,694
Ulinzi ukiwa umeimarishwa
Ulinzi ukiwa umeimarishwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni