Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Majeshi
ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange vitabu kwaajili ya Chuo Cha ulinzi
cha Taifa National Defence College(NDC) katika hafla fupi iliyofanyika
ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 26, 2015.Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho
cha NDC Meja Jenerali Gaudence Milanzi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue,Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange,Mkuu wa Chuo
Cha NDC Meja Jenerali Gaudence Milanzi wakiangali baadhi ya vitabu
ambavyo Rais ameviakbidhi kwaajili ya matumizi ya Chuo hicho.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Katibu mkuu kiongozi Balozi
Ombeni Sefue(watatu kushoto),Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis
Mwamunyange,(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi Cha Taifa(NDC) Meja
Jenerali Gaudence Milanzi(kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na
viongozi waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania muda mfupi baada ya
Rais Kikwete kukabidhi vitabu kwaajili ya National Defence College)
katika hafla iliyofanyika ikulu jijijini Dar es Salaam Oktoba 26, 2015.
(Picha na Freddy MRO)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni