Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua nembo mpya ya sukari inayotengenezwa na
kiwanda cha Kilombero Sugar Company iitwayo Bwana Sukari kwenye hoteli
ya Serena jijini Dar es salaam Oktoba20, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baada ya viongozi wa Bodi ya Sukari Tanzania na viongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero baada ya kuwasili kwenye hoeli ya Serena jijini Dar es salaam Oktoba 20, 2015 kuzindua nembo mpya ya sukari ya kiwanda hicho IITWAYO Bwana Sukari . Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es slaam, Meck Sadiki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni