DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO
posted on
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe
Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba
25, 2015. (PICHA NA MWANDISHI WETU).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni