Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe. Jesha Salim Jecha akitangaza
Matokeo ya Kura za Urais za Majimbo mawili ya Fuoni na Kiembesamaki
Zanzibar.Chama cha Mapinduzi CCM kikiongoza katika majimbo hayo mawili
ya Uchaguzi Zanzibar.
Makamishna
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia matokeo ya Majimbo mawili ya
Fuoni na Kiembesamaki yakitangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar. katika Ukumbi wa Salama Bwawani Usiku huu.
Makamishna
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakifuatilia matokeo ya Majimbo mawili ya
Fuoni na Kiembesamaki yakitangazwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar. katika Ukumbi wa Salama Bwawani Usiku huu.
Mawakala wa Vyama vya Siasa Zanzibar wakifuatilia Matokeo ya Kura za Urais za Majimbo Mawili ya Fuoni na Kiembesamaki Zanzibar.
Waandishi
wa Habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar wakichukuwa sauti ya Mwenyekiti
wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akitaja matokeo ya Kura za Urais za
Majimbo ya Fuoni na Kiembesamaki Chama cha Mapinduzi kikiongoza katika
Majimbo hayo.
Wakifuatilia
Matokea ya Kura za Urais za Majimbo Mawili Zanzibar ya Kura za Urais ya
Fuoni na Kiembesamaki Zanzibar yakitajwa katika Ukumbi wa Salama
Bwawani Usiku huu.
Mawakala
wa Vyama Vyama vua Siasa Zanzibar wakifuatilia Matokea ya Kura za Urais
za Majimbo Mawili ya Uchaguzi ya Kiembesamaki na Fuoni Zanzibar. Kwa
hisani ya ZanziNews
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni