Soko la Hisa la Asia linatarajiwa
kutotetereka hii leo baada ya China kukata kiwango cha wastani wa
riba zake kwa asilimia 0.25 hadi asilimia 4.35.
Serikali ya China inatarajia kitendo
cha kulegeza sera zake za fedha kwa kuifanya fedha rahisi, itasaidia
kufikia lengo la asilimi 7, 2015.
Wiki iliyopita China iliripoti
ukuaji wa uchumi wake umepungua kwa mwaka wa sita mfululizo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni