Mjumbe
wa kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano
wa Kmpeni za CCM kumnadi mgombea urais, wabunge n madiwni katika uwanja
wa Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11, 2015.
Mwanasiasa
Mkongwe nchini, Dkt Chrisant Majiyatanga Mzindakaya akimnadi Mgombea
ubunge wa jimbo la Sumbawanga Mjini, Khalfan Hilaly Aeshi katika mkutano
wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga
Oktoba 11,2015.
Shabiki
wa CCM akiwa ameijichora katika katika mkutano wa kampeni za CCM
uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.
Mjumbe
wa kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano
wa Kmpeni za CCM kumnadi mgombea urais, wabunge n madiwni katika uwanja
wa Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11, 2015.
Moja
wa mabango yaiyokuwepo katika katika mkutano wa kampeni za CCM
uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.
Shabiki
wa CCM akiwa ameijichora katika katika mkutano wa kampeni za CCM
uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda katika viwanja uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.
Mwanasiasa
Mkongwe nchini, Dkt Chrisant Majiyatanga Mzindakaya akisalimiana na
baadhi ya wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na
Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika viwanja
uwanja vya Chanji mjini Sumbawanga Oktoba 11,2015.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni