Mwanasheria
wa Manispaa ya Ilala, Elizabeth Buwimba, akichangia mada ya wajibu wa
mwanamke kushiriki kwenye uchaguzi na umuhimu wakufanya hivyo wakati wa
mdahalo wa kujadili amani wakati na baada ya uchaguzi, uliofanyika eneo
la Pugu jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria
kutoka Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Edna Kamaleki,
akiwasilisha mada mbalimbali wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati
wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, kwa watendaji wa
serikali za mitaa jimbo la Ukonga na watendaji wa Halmashauri ya wilaya
na Jeshi la Polisi.
Baadhi ya Watendaji wa Tawla wakiandika baadhi ya maoni ya washiriki wa mdahalo huo.
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa Pugu jijini Dar es Salaam Jamila Jackson, akichangia hoja ya mjadala huo
Ofisa
Ustawi wa Jamii Manispaa ya Ilala, Victor Mukiza, akichangia mada ya
amani wakati wa mdahalo ulioandaliwa na chama cha Wanasheria Wanawake
Tanzania (TAWLA) kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi
wa Halmashauri hiyo jana.
.picha na Emmanuel Massaka
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni