Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Emmerson
Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili
nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam kabla ya kiongozi huyo kuondoka kurejea nchini kwake leo
Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29,
2018
Rais Emmerson Mnangagwa wa
Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini akiagana na
askari wa JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais Emmerson Mnangagwa wa
Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dkt. Raymond Mndolwa katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya
kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni
29, 2018
Rais Emmerson Mnangagwa wa
Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
viongozi wa CCM mkowa wa Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka
kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais Emmerson Mnangagwa wa
Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
Wakuu wa Wilaya za Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini
kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais Emmerson Mnangagwa wa
Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo
Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais Emmerson
Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili
nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29,
2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakipunga mikono
kumuaga Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi
ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo
Ijumaa Juni 29, 2018 leo Ijumaa Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru wafanyakazi wa vitengo
na ngazi mbali mbali kwa kufanikisha ziara ya Rais Emmerson Mnangagwa
wa Zimbabwe katika ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya
kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018 l eo Ijumaa
Juni 29, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru askari wa usalama
barabarani waendesha pikipiki kwa utendaji wao mzuri wakati wa ziara ya
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku
mbili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa
Juni 29, 2018 l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Picha na IKULU