
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Emmerson
 Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili 
nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
 es salaam kabla ya kiongozi huyo kuondoka kurejea nchini kwake leo 
Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018  leo Ijumaa Juni 29, 
2018

Rais Emmerson Mnangagwa wa 
Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini akiagana na 
askari wa JWTZ katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere 
jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake katika 
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam 
kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018 

Rais Emmerson Mnangagwa wa 
Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dkt. Raymond Mndolwa  katika uwanja wa 
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya 
kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni
 29, 2018

Rais Emmerson Mnangagwa wa 
Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
 viongozi wa CCM mkowa wa Dar es salaam katika uwanja wa ndege wa 
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka 
kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018
 
Rais Emmerson Mnangagwa wa 
Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
 Wakuu wa Wilaya za Dar es salaam  katika uwanja wa ndege wa kimataifa 
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini 
kwake eo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018
 
 
 
 
 
Rais Emmerson Mnangagwa wa 
Zimbabwe akiwa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na
 viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius 
Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo 
Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018
 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais Emmerson 
Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili 
nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
 es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa Juni 29, 
2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakipunga mikono 
kumuaga Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi
 ya siku mbili nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius 
Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo 
Ijumaa Juni 29, 2018   leo Ijumaa Juni 29, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwashukuru wafanyakazi wa vitengo 
na ngazi mbali mbali kwa  kufanikisha ziara ya Rais Emmerson Mnangagwa 
wa Zimbabwe katika ziara yake rasmi ya siku mbili nchini  katika uwanja 
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  kabla ya 
kuondoka kurejea nchini kwake leo Ijumaa Juni 29, 2018   l eo Ijumaa 
Juni 29, 2018.
 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
 Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwashukuru askari wa usalama 
barabarani waendesha pikipiki kwa utendaji wao mzuri wakati wa ziara ya 
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku
 mbili nchini  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere 
jijini Dar es salaam  kabla ya kuondoka kurejea nchini kwake eo Ijumaa 
Juni 29, 2018   l eo Ijumaa Juni 29, 2018.
Picha na IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni