Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika
mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa
2017-2018,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Naibu Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano
na Usafirishaji Mhe. Mohamed Ahmada (kulia) akiwa na Wakurugenzi
katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa
2017-2018,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe alipokuwa
akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mpango Kazi kwa mwaka 2017-2018
katika Mkutano wa Uongozi wa Wizara hiyo chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa
2017-2018,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na
Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya (kushoto) akisoma muhtasari wa
utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018 wa Wizara
yake katika mkutano wa Uongozi uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)na Katibu
Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mee (kulia),
Wakurugenzi wa Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika mkutano wa
utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa
2017-2018,uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Picha na Ikulu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni