Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na
Mipango Khamis Mussa(wapili kulia )akizungumza machache na kumkaribisha
Waziri wa Fedha na mipango katika mkutano na Waandishi wa Habari
kuelezea Mapitio ya Uchumi na Utekelezaji wa Bajeti ya
Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na Bajeti kwa Mwaka
2018/2019.Hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini
Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari
waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Fedha na Mipango DKT,Khalid
Salum mohammed kuelezea Mapitio ya Uchumi na Utekelezaji wa Bajeti ya
Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019.
katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango
Dkt,Khalid Salum Mohamed akielezea Mapitio ya Uchumi na Utekelezaji wa
Bajeti ya Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na Bajeti kwa Mwaka
2018/2019. katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini Zanzibar.
Muandishi wa Habari wa Hits Fm
Zuhura Husein akiuliza maswali katika Mkutano wa Waziri wa Fedha na
Mipango DKT,Khalid Salum mohammed kuelezea Mapitio ya Uchumi na
Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na
Bajeti kwa Mwaka 2018/2019. katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini
Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt
Khalid Salum Mohammed akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa katika
Mkutano na Waandishi wa Habari kuelezea Mapitio ya Uchumi na
Utekelezaji wa Bajeti ya Serikali(2017/2018)na Muelekeo wa Uchumi na
Bajeti kwa Mwaka 2018/2019. katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga mjini
Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni