Shida Peter wa kijiji cha
Nyanh’onge wilayani Misungwi akianika viazi vitamu vilivyomenywa mganda
maarufu kwa jina la mchembe ikiwa ni njia ya asili ya kuvihifadhi kwa
matumizi ya baadae, Juni 11, 2018. Hatua hiyo inatokana na mavuno
makubwa ya zao hilo waliyoyapata wakulima wilayani humo. (
Bibi Sarah Pauline wa kijiji cha
Mondo wilayani Misungwi akianika viazi vitamu vilivyomenywa mganda,
maarufu kwa jina la mchembe ikiwa ni njia ya asili ya kuvihifadhi kwa
matumizi ya baadae, Juni 11, 2018. Hatua hiyo inatokana na mavuno
makubwa ya zao hilo waliyoyapata wakulima wilayani humo.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni