Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na
Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika kikao cha
siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na
Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar,
Baadhi ya Viongozi mbali mbali katika Idara za Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika kikao cha siku moja
cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango
kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,
Baadhi ya Maafisa katika Idara mbali mbali za Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kikao cha utekelezaji wa Mapngo kazi wa Mwaka 2017-2018 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na
Mambo ya Kale katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi
wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019,
kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale Bi.Khadija Bakari Juma (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Wizara yake katika kikao cha siku moja
cha Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka
2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika leo
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Mshauri wa Rais masuala
ya Uwezeshaji na Uwekezaji Mhe.Abdulrahman Mwinyi Jumbe
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Nd,Hassan Vuai alipokuwa akijibu
masuala yaliyoulizwa katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara
ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa
Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019,
kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Naibu Mkurugenzi Idara
habari Maelezo Zanzibar Dkt.Juma Mohamed,
Picha na Ikulu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni