Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed 
Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemedi 
Suleiman (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mhe.Rashid 
hadid Rashid mara baada ya Swala ya Magharibi jana kabla ya Futari 
aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Pemba katika 
Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chakechake Wilaya ya Chakechake
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed 
Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kusini 
 Pemba jana katika Futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa 
Mkoa wa Kusini Pemba katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chakechake Wilaya
 ya Chakechake (kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar kabi,
Baadhi ya  Mashekhe wakiwa katika 
Futari iliyoandaliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la 
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo
 ya Chakechake wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pembaya mbali mbali 
katika Mikoa ya Zanzibar ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha
 Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar
Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa 
Kusini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na  Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed 
Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chakechake,Wilaya ya 
Chakechake ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na 
Waislamu wa Wilaya na Mikoa ya Zanzibar,
 Baadhi ya Akinamama wa Mkoa wa 
Kusini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na  Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed 
Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Chake chake Wilaya ya Chakechake
 Pemba ikiwa ni mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa 
Wilaya na Mikoa ya Zanzibar,
Mke
 wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akijumuika na
 Viongozi akinamama na Wananchi wengine wa Mkoa wa Kusini Pemba katika 
Futari iliyoandaliwa jana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza 
la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Viwanja vya Ikulu Ndogo 
ya Chakechake Wilaya ya Chakechake Pemba ikiwa ni mpangilio 
wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya na Mikoa ya 
Zanzibar,
 Baadhi ya  akinamama na Wananchi wengine wa Mkoa wa Kusini Pemba katika
 Futari iliyoandaliwa jana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza 
la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Viwanja vya Ikulu Ndogo 
ya Chakechake Wilaya ya Chakechake Pemba ikiwa ni mpangilio 
wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya na Mikoa ya 
Zanzibar,
Mkuu
 wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman akitoa Shukurani kwa Niaba 
ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali 
Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa ushiriki wa Wananchi wa Mkoa huo
 katika
 Futari  aliyoiandaa jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya  
Chakechake Wilaya ya Chakechake Pemba ikiwa ni mpangilio 
wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya na Mikoa ya 
Zanzibar, [Picha na Ikulu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni