Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Vyama vya Upinzani katika mkutano wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar(wa nne kushoto) Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Magalie John P.Shibuda alipokuwa akitoa mchango wake katika Mkutano wa kushauriana na Vyama vya Upinzani pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Vyama vya Upinzani katika mkutano wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (wa nne kushoto) Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa katika picha ya pamoja na Vyama vya Upinzani baada ya mkutano wa pamoja wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Magalie John P.Shibuda wakati wa Mkutano wa kushauriana na Vyama vya Upinzani uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba, wakati wa Mkutano wa kushauriana na Vyama vya Upinzani uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Picha na Ikulu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni