RAIS DKT.MAGUFULI AMTEUA CAG MSTAAFU,LUDOVICK UTOUH

RAIS Magufuli amemteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh kuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na gesi Asilia Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni