Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro, akimsikiliza Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi,
wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar
es salaam leo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kikazi ikiwemo
kuweka mikakati ya kuwahisha upepelezi wa kesi ili kuhakikisha haki
inapatikana kwa wakati.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro, akizungumza na Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi
(katikati), wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo
Jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya
kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha upepelezi wa kesi ili
kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, kushoto ni Kamishna wa Polisi
Jamii CP Mussa A. Mussa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro, akimsikiliza kamishna wa Polisi Zanzibar CP Mohammed
Hassan Haji (wa kwanza kutoka kulia), wakati wa kikao kazi cha kujadili
masuala mbalimbali ya kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha
upepelezi wa kesi ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, kikao
hicho kilihudhuriwa na Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi,
alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es
salaam leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro (katikati), akimsikiliza Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Mbuki
Feleshi (kushoto), wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya
Jeshi hilo Jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujadili masuala
mbalimbali ya kikazi ikiwemo kuweka mikakati ya kuwahisha upepelezi wa
kesi ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, kulia ni Mkurugenzi wa
Upelelzi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz.
Picha na Jeshi la Polisi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni