Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Athony Mavunde (Mb) akizungumza na Walimu na Wanafunzi wa Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Maria De Mattias ya Jijini Dodoma wakati Wanafunzi hao walipotembelea Bunge mapema leo.
Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Athony Mavunde (Mb) (katikati) katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Kidato cha Tano wa shule Sekondari ya Maria De Mattias ya Jijini Dodoma wakati Wanafunzi hao walipotembelea Bunge mapema leo.
Walimu na Wanafunzi wa Kidato cha Tano wa Shule ya Sekondari Maria De Mattias ya Jijini Dodoma wakipewa elimu kuhusu masuala ya Bunge na Afisa wa Bunge Ndg. Stanislaus Yusufu katika Ukumbi wa Mswekwa wakati walipotembelea Bunge mapema leo.
Wanafunzi wa wa Kidato cha Tano wa Shule ya Sekondari Maria De Mattias ya Jijini Dodoma wakiuliza maswali wakati walipotembelea Bunge mapema leo na kupewa elimu kuhusu masuala ya Bunge.
PICHA NA BUNGE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni