NAIBU
Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, akiwa ameshika moja ya mita ya kisasa ya LUKU, (Smart Meter), iliyotengenezwa na kiwanda cha Baobab Engineering System Tanzania kilichoko Mbezi jijini Dar es Salaam, wakati alipokitembelea kujionea mita hizo leo Juni 8, 2018.

NA
K-VIS BLOG/KhalfanSaid
K-VIS BLOG/KhalfanSaid
NAIBU
Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, ametembelea kiwanda cha kutengeneza mita
za LUKU kilichoko Mbezi jijini Dar es
Salaam leo Juni 8, 2018 na kuridhishwa na ubora wa mita hizo.

Alisema
tatizo la mita lilikuwa ni changamoto kubwa iliyopelekea kasi ya kuwafikishia
umeme Watanzania kuwa na kikwazo kwani TANESCO iliagiza mita hizo kutoka nje.

Kampuni
ya Baobab Engineering System Tanzania
ndiyo watengenezaji wa mita hizo za kisasa za LUKU
(Smart Meters) na uongozi wa kiwanda umeahidi kuzalisha mita za kutosha ili
kutatua changamoto iliyokuwa ikiikabili TANESCO kuhusu upatikanaji wa mita.

“Sisi
katika kutaka shirika letu la TANESCO lifanye vizuri tumewapa maelekezo yako
ndani ya Sera na mipango yetu lazima waunganishie umeme wateja wengi na moja ya
component inayotakiwa ni mita,
kumekuwa na changamoto ya mita kama mlivyosema, na hasa inatokana na utaratibu
wa uagizaji na hata kufika kwa vifaa hivyo ilichukua muda sana, sasa uwepo wa
kiwanda cha kutengeneza mita hapa nyumbani ninaamini tatizo hili sasa halitakuwepo.”
Alisema Mhe. Naibu Waziri Mgalu.

Kwa
upande wake, Meneja Mwandamizi wa TANESCO anayeshuhghulikia Mauzo na Masoko Mhandisi
Theodory Bayona amesema, tayari Shirika limeanza kutekeleza agizo hilo la
serikali na mchakato wa manunuzi umeanza kwa kuhakikisha vifaa vyote vya
Shirika vinanunuliwa kutoka ndani na tayari TANESCO imeanza kwa kununua nguzo
za umeme hapa hapa nchini, lakini kuhusu mita za umeme TANESCO inampango wa
kununua mita 350,000 kutoka kwa wawekezaji wa ndani na mita hizo hasa
zitatumika kubadilisha zile mita zile za zamani ambapo zilikuwa haziendi
sawasawa lakinin pia kuwaunga na wateja wapya., Alisema Mhandisi Bayona.

Awali
Mhe. Naibu Waziri alipatiwa maelezo ya kiuntendaji ya kiwanda hicho kabla ya
kupata fursa ya kutembelea eneo la uzalishaji na kujionea jinsi mafundi wazawa
wa kiwanda hicho wanavyotengeneza mita hizo la LUKU

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, akizunguzma jambo baada ya kujionea mita hizo.
Mhe. Naibu Waziri akimsikiliza Meneja Mwandamizi wa TANESCO anayeshuhghulikia Mauzo na Masoko, Mhandisi Theodory Bayona.
Wataalamu wa kiwanda ambao wote ni Watanzania wakiwa kazini.
Mhe. Naibu Waziri akiangalia utaalamu wa kutengeneza mitab hizo.

Moja ya mita hizo ikiwa katika hatua za mwisho za matengenezo.
Wataalamu wa kiwanda ambao wote ni Watanzania wakiwa kazini.
Wataalamu wa kiwanda ambao wote ni Watanzania wakiwa kazini.
Mhe. Subira Mgalu, akizunhuzma. Kulia ni Meneja Mwandamizi wa TANESCO anayeshuhhulikia Mauzo na Masoko, Mhandisi Theodory Bayona.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha Baobab Engineering System Tanzania, Bw.Allan Magoma, akizungumza.
Picha ya pamoja
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni