Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwasalimu baadhi ya watoto walioletwa kwa matibabu katika hospitali ya
CCBRT kama wagonjwa wa nje,kulia anayetoa maelezo ni Mkurugenzi Mkuu
Mtendaji wa CCBRT Bw. Erwin Telemans. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimjulia hali mtoto Luke Maulid mwenye umri wa miaka 4 kutoka Mtwara
ambaye anapata matibabu ya mguu katika hospitali ya CCBRT. (Picha na
ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimjulia hali Binti wa miaka 11 anayefahamika kwa jina la Maureen
Mbilinyi mkazi wa Mbezi ambaye anapata matibabu ya kuondoa uvimbe
jichoni katika hospitali ya CCBRT. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Bibi Helena Mjinja mwenye umri wa miaka 64 kutoka Musoma
anayepata matibabu ya Fistula katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es
Salaam. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wanawake ambao wamepata matibabu ya Fistula na kupona na
kisha kufundishwa kazi za mikono katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es
Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya
CCBRT Bw.Erwin Telemans juu ya utengenezaji wa viungo bandia
vinavyotengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu katika hospitali ya CCBRT
jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiangalia watoto Mussa Hussein (kulia) mwenye umri wa miaka 8 mkazi wa
Kigamboni na Abdul Hamad (kushoto) mwenye umri wa miaka 10 mkazi wa
Yombo Vituka wakicheza mpira kwa kutumia miguu maalum, Makamu wa Rais
leo alifanya ziara kwenye hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipata maelezo juu ya utengenezwaji wa macho bandia kutoka kwa Mtaalamu
wa Macho wa Hospitali ya CCBRT Bi. Rehema S. Semindu. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wananchi na wagonjwa wa hospitali ya CCBRT mara baada ya
kumaliza kutembelea hospitali hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. (Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni