Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua baadhi ya vifaa, magari na mitambo inayotumiwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipotembelea Kituo cha Zimamoto na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala, eneo la Fire jijini Dar es salaam. Juni 8, 2018. Kushoto kwake ni Kamishina Jenerali wa Jeshi hilo, Thobias Andengenye. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni