Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai akiosha Gari la Mbunge wa viti maalum Rose Mtweve kuchangia ujenzi wa vyoo ya kisasa kwa wasichana na wenye uhitaji maalum kwenye majimbo yote hapa nchini |
Gari la Mbunge wa Ilala Mussa Azani Zungu ambaye pia ni mwenyekiti wa bunge likioshwa na spika ndugai kwa gharama ya tsh.1 milion |
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiosha gari la mbunge wa kuteuliwa na Rais mh. Salma Kikwete wakati wa shughui ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia fedha za kujengea Vyoo vya mfano kwa ajili ya watoto wa Kike na wenye mahitaji maalum. Shughuli hiyo imefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
PICHA NA zote mahmouf ahmad
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni