DK. KIGWANGALLA APOKEA TAARIFA YA AWALI YA TUHUMA ZA MAUAJI YA TEMBO ZILIZOTOLEWA NA KITUO CHA HABARI CHA ITV-LONDON


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipokea taarifa
ya awali ya uchunguzi wa tuhuma za mauaji ya Tembo katika Ikolojia ya Ruaha-Rungwa
ambazo ziliripotiwa na kituo cha habari cha ITV-London mwaka 2017, kutoka kwa Mwenyekiti
wa Kamati Maalum aliyoiunda kuchunguza tuhuma hizo, Kamishna Mstaafu wa Jeshi
la Polisi, Suleiman Kova ofisini kwake Jijini Dodoma jana. Katikati ni Naibu Waziri
wa wizara hiyo, Japhet Hasunga na Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Iddi
Mfunda (kulia). 
Tuhuma hizo ziliwahusisha watumishi wa Serikali na Shirika la Umoja wa
Mataifa la Maendeleo Duniani (UNDP) kupitia mradi wa SPANEST waliokuwa
wakiufadhili.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) na Naibu
Waziri, Japhet Hasunga (katikati) wakipokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa tuhuma
za mauaji ya Tembo katika Ikolojia ya Ruaha-Rungwa ambazo ziliripotiwa na kituo
cha habari cha ITV-London mwaka 2017, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati Maalum aliyoiunda
kuchunguza tuhuma hizo, Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova
ofisini kwake Jijini Dodoma jana. 
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) na Naibu
Waziri, Japhet Hasunga (wa pili kulia) wakipokea taarifa ya awali ya uchunguzi
wa tuhuma za mauaji ya Tembo katika Ikolojia ya Ruaha-Rungwa ambazo ziliripotiwa
na kituo cha habari cha ITV-London mwaka 2017, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati
Maalum aliyoiunda kuchunguza tuhuma hizo, Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi,
Suleiman Kova ofisini kwake Jijini Dodoma jana. Wengine ni wajumbe wa kamati hiyo, Julius
Kibebe, Kresensia Swai na Emmanuel Musamba (kushoto). 
Waziri wa Maliasili na
Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akimkabidhi Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo,
Dk. Iddi Mfunda taarifa hiyo kwa ajili ya utekelezaji wa mapendekezo ya kamati
hiyo.
Waziri wa Maliasili na
Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wajumbe wa kamati maalum
aliyoiunda kuchunguza tuhuma za mauaji ya Tembo ambazo ziliwahusisha watumishi
wa Serikali na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo Duniani (UNDP) kupitia mradi
wa SPANEST waliokuwa wakiufadhili. (Picha na Hamza Temba – Wizara ya Maliasili na Utalii).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni