Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge
akiukaribisha ujumbe wa Mabalozi waliotembelea Ofisini kwake wakiongozwa
na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt Ujumbe huo ulifika kwa ajili
ya kuzungumzia maswala ya mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Nchi za
zinazoendelea.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge
akiongea jambo na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt aliyeongoza
Ujumbe wa Mabalozi waliofika Ofisini kwake leo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge
akimsikiliza Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Bi. Yasemin Eralp
aliyekuja Ofisini kwake kujitambulisha mapema leo.
Balozi
wa Uturuki Nchini Tanzania Bi. Yasemin Eralp akisaini kitabu cha Wageni
mara baada ya kumtembelea Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-
Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli
jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni