Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Zambia, Edgar Lungu 
katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB kwenye Kituo cha 
Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia , Mei 24, 2016. (Picha na
 Ofisi ya Waziri Mkuu. 
 
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Carlos 
Agostino do Rosario katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika – ADB
 kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka Zambia , Mei 
24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 
Rais
 wa Zambia, Edgar Lungu akifungua Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya 
Afrika – ADB kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka 
Zambia , Mei 24, 2016.Kushoto kwake ni Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa 
ambaye alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo. (Picha na 
Ofisi ya Waziri Mkuu)  
 
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano wa Benki ya Maendeleo 
ya Afrika – ADB kwenye Kituo cha Mikutano cha Mlungushi kilichopo Lusaka
 Zambia , Mei 24, 2016. Wengine pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais
 wa Nigeria, Prof. Yemi Osinbojo, Rais wa Chad,  Idriss Debyo, Rais wa 
Zambia, Edgar Lungu na Waziri Mkuu wa Msumbiji,  Carlos Agostino do 
Rosario (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 
Wasanii
 wa Lusaka wakicheza ngoma ya asili ya Zambia katika mkutano wa Benki ya
 Maendeleo ya Afrika – ADB uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha 
Mlungushi Zambia Mei 24, 2016. Tanzania iliwakilishwa na Waziri Mkuu 
Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 
 
 
 
 
  
 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni