Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya Wafanyakazi katika kilele cha Maadhimisho ya
Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika
Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
TUCTA wakati wakiimba wimbo wa Mshikamano Daima katika kilele cha
Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
kombe la ushindi wa jumla kwa Rais wa TUCTA Gratian Mukoba katika
kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Cheti cha Mfanyakazi bora kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Ndugu Peter
Chisunga katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
namna ya uokozi katika majanga mabalimbali yanayotokea Migodini nje ya
uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiifurahi
picha yake ya kuchora alipokabidhiwa wakati anakagua mabanda ya Maonesho
katika katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi
Duniania zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo kutoka kwenye banda la mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi
ya jamii SSRA mjini Dodoma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo kutoka kwenye banda la Wakala wa Afya na Usalama mahala pa kazi
OSHA mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi wa Tanzania
TUCTA Ndugu Nicholas Mgaya mara baada ya kuwasili katika viwanja vya
Jamhuri Mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa TUCTA Gratian Mukoba wakati alipowasili katika
katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wazee wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kuhutubia katika kilele cha
Maadhimisho hayo ya siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika Kitaifa
Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono kuagana na mamia ya wafanyakazi katika uwanja wa Jamhuri mkoani
Dodoma.
Sehemu
ndogo ikionesha wafanyakazi waliojitokeza katika Uwanja wa Jamhuri
mkoani Dodoma katika kilele cha sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni