Binti wa Akofu Mstaafu Desmond Tutu,
amelazimika kuachia madaraka ya uchungaji wa Kanisa la Anglikana la
Afrika Kusini baada ya kumuoa mwanamke mwenzake.
Mchungaji Canon Mpho Tutu-van Furth
hawezi kupokea mkate wa bwana na hatoruhusiwa kufungasha ndoa,
kubatiza ama kuzika, na amerejesha kanisani leseni ya uchungaji.
Mchungaji huyo Canon Mpho Tutu-van
Furth amesema baba yake Askofu Mstaafu Tutu na amechukizwa na kitendo
chake lakini hakushangazwa na ndoa hiyo.
Canon Mpho Tutu-van Furth akiwa na baba yake Askofu Mstaafu Tutu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni