Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Ayoub Mohammed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A, hafla
iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Vuai Mwinyi Mohammed kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kati, hafla iliyofanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Marina Joel Thomas kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Mjini Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Silima Haji Haji kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Hassan Ali Kombo kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kaskazini “A” Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Issa Juma Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kaskazini “B” Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Mashavu Sukwa Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati
Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Idrissa Kitwana Mustafa kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Kusini Unguja, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein akimuapisha Mhe,Salama Mbarouk Khatib kuwa Mkuu wa Wilaya ya
Chakechake Pemba, hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja,
[Picha zote na Ikulu.]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni