Mkurugenzi
wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao( wa tatu toka kushoto) pamoja na
wafanyakazi wenzake wakifurahia moja ya nyimbo za mwanamuziki Nasib
Abdul”Diamaond Platinum’s” alipokuwa akitumbuiza wakati wa hafla ya
kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania ,wakicheza nyimbo mbalimbali
zilizokuwa zikiimbwa na mwanamuziki mahiri wa mziki wa kizazi kipya,
Nasib Abdul”Diamaond Platinum’s”(hayupo pichani) wakati wa hafla ya
kuwatunuku zawadi mbalimbali wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni
mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Msanii
mahiri wa Mziki wa kizazi kipya,Nasibu Abdul 'Diamond Platinum’s '
akitumbuza vilivyo wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora
wa Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakicheza na Mwanamuziki anayetamba
katika medani ya muziki wa kitaifa na Kimataifa ,Nasibu Abdul 'Diamond
Platinum’s ', wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa
kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mwanamuziki
anayetamba katika medani ya muziki wa kitaifa na Kimataifa ,Nasibu
Abdul 'Diamond Platinum’s ', akiwapagawaisha wafanyakazi wa Vodacom
Tanzania , wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi mbalimbali wafanyakazi
bora wa kampuni ya Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni