PATA KUFAHAMU NYUMBA ZA AJABU DUNIANI

      Nyumba iliyojengwa juu ya jabali la mnara wa Katshki huko Chiatura, Georgia
       Nyumba iliyojengwa kati kati ya Mto Drina na wanafunzi miaka 45 iloyopita 
                                          Nyumba ya Mawe iliyopo Ureno kwenye Mlima Fafe
     Nyumba ya vioo juu ya miti iliyojengwa kwenye hoteli ya Haras nchini Sweden
     Hoteli ya Kiota cha Tai, iliyojengwa kwenye mlima wa majabali nchini Namibia
  Chumba mithili ya yai, ambacho kilijegwa kinyume na sheria Mlima Whistler nchini Canada

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni