Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akipeana mkono
na Meneja Miradi na Maendeleo ya Biashara kutoka Soko la Hisa Tanzania,
Patrick Mususa mara baada ya benki hiyo kuzinduwa hati fungani
zinazoanza kuuzwa kwa Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa
benki ya NMB. Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akipeana mkono
na Meneja Miradi na Maendeleo ya Biashara kutoka Soko la Hisa Tanzania,
Patrick Mususa mara baada ya benki hiyo kuzinduwa hati fungani
zinazoanza kuuzwa kwa Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa
benki ya NMB. Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (katikati) akizungumza
na wanahabari hawapo pichani katika hafla ya uzinduzi uuzaji wa hati
fungani zitakazouzwa kwa Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa
benki ya NMB. Kushoto ni Ofisa Mkuu Kitengo cha Fedha wa NMB, Waziri
Barnabas na Meneja Miradi na Maendeleo ya Biashara kutoka Soko la Hisa
Tanzania, Patrick Mususa (kulia). Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza
jambo na Ofisa Mkuu Kitengo cha Fedha wa NMB, Waziri Barnabas (kushoto),
katika hafla ya uzinduzi uuzaji wa hati fungani zitakazouzwa kwa
Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa benki ya NMB. Ofisa
Mkuu Kitengo cha Fedha wa NMB, Waziri Barnabas (kushoto) akifafanua
jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati benki hiyo ilipozinduwa
hati fungani zinazoanza kuuzwa kwa Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika
mtaji wa benki ya NMB. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB,
Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akiwa na Meneja Miradi na Maendeleo ya
Biashara kutoka Soko la Hisa Tanzania, Patrick Mususa (kulia). Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akiwa katika
picha ya pamoja na Meneja Miradi na Maendeleo ya Biashara kutoka Soko la
Hisa Tanzania, Patrick Mususa (kushoto) mara baada ya benki hiyo
kuzinduwa hati fungani zinazoanza kuuzwa kwa Watanzania wanaoitaji
kuwekeza katika mtaji wa benki ya NMB. Kushoto ni Ofisa Mkuu Kitengo cha
Fedha wa NMB, Waziri Barnabas akishuhudia. Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akizungumza na
wanahabari hawapo pichani katika hafla ya uzinduzi uuzaji wa hati
fungani zitakazouzwa kwa Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa
benki ya NMB. Kulia ni Meneja Miradi na Maendeleo ya Biashara kutoka
Soko la Hisa Tanzania, Patrick Mususa akifuatilia tukio hilo. Meneja
Miradi na Maendeleo ya Biashara kutoka Soko la Hisa Tanzania, Patrick
Mususa (kulia) akizungumza na wanahabari kufafanua hali ya hisa nchini
na kuipongeza NMB kwa hatua ya kuwashirikisha wananchi kwenye uwekezaji.
Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke
Bussemaker.[/caption] BENKI ya NMB imetoa ofa ya hati fungani kwa
wananchi wanaotaka kuwekeza kwa muda wa miaka mitatu katika mtaji wa
benki hiyo, huku wakijipatia faida ya asilimia 13 ya fedha waliyowekeza
kwa kila miezi sita. Ofa hiyo imefunguliwa leo jijini Dar es Salaam na
Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Bi. Ineke Bussemaker. Alisema NMB itauza
hati fungani ya thamani ya shilingi bilioni 20 ikiwa ni njia ya
kuwashirikisha wananchi kuwekeza fedha zao na kujipatia faida.
Akifafanua zaidi, Ofisa Mkuu Kitengo cha Fedha wa NMB, Waziri Barnabas
alisema ofa ya chini kwa kila anayetaka nunua hati fungani hizo ni
kuanzia shilingi 500,000 na kuendelea kulingana na uwezo wa mtu kwa
kiasi atakachoitaji kukiweka katika mtaji wa NMB.. Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) akizungumza na
wanahabari katika hafla ya uzinduzi uuzaji wa hati fungani zitakazouzwa
kwa Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa benki ya NMB. Baadhi
ya maofisa na wafanyakazi wa Benki ya NMB pamoja na wanahabari
wakifuatilia hafla ya uzinduzi uuzaji wa hati fungani zitakazouzwa kwa
Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa benki ya NMB.[/caption]
Alisema wawekezaji hao wataanza kupata gawio lao la asilimia 13 kwa
kiasi ulichowekeza baada ya miezi sita na litaendelea kutolewa kila
baada ya miezi sita kwa kipindi cha miaka mitatu. Aliongeza kuwa baada
ya kutimia miaka mitatu mwekezaji atalipwa fedha yake pamoja na asilimia
13 ya kiasi alichowekeza. Hati fungani hizo zitaanza kuuzwa kwa
wananchi kuanzia Mai 10 hadi Juni 8, 2016 ambapo ofa itafungwa na
utaratibu wa kupangwa kwa hati hizo kuanza. Wananchi wametakiwa
kujitokeza kwa wingi kuwekeza fedha zao hasa wale wanaohifadhi fedha
bila kuzizalisha kwani wataziongezea thamani. Mmiliki
wa Blogu ya Father Kidevu, Mroki Mroki (kulia) akifurahia jambo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kushoto) mara
baada ya hafla ya uzinduzi uuzaji wa hati fungani zitakazouzwa kwa
Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa benki ya NMB. Baadhi
ya maofisa na wafanyakazi wa Benki ya NMB pamoja na wanahabari
wakifuatilia hafla ya uzinduzi uuzaji wa hati fungani zitakazouzwa kwa
Watanzania wanaoitaji kuwekeza katika mtaji wa benki ya NMB.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni