Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao
cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.
Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na kushoto ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.
Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais
wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakifurahia
jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya
Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati
alipowasili mkoani Dodoma kwa ajili ya kikao hicho cha Kamati Kuu ya
Halmashauri kuu ya Taifa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakielekea kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni