Waziri
wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akionesha Mkoba
Wenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar alipowasili katika
viwanja vya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kusoma Bajeti ya Serikali
ya Mwaka wa Fedha 2016/2017. kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar.
Waziri
wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Dk Khalid Salum Mohammed akiwasilisha
Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017
kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akiwa katika
Ukumbi wa Mkutano wakati ikiwasilishwa Bajeti ya Serikali na Waziri wa
Fedha na Mipango wa Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed. kwa Wajumbe wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid akiingia katika
Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi akiongozwa na Askari wa
Baraza.kwa ajili ya kuaza kwa Mkutano wa Bajeti.
Spika
akingia katika ukumbi wa Mkutano jioni leo kwa ajili ya kuwasilishwa
Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. na Waziri wa Fedha na Mipango
wa Zanzibar.
Waziri
wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed akiongozwa na
Askari wa Baraza kuingia katika Ukumbi wa Mkutano kuwasilisha Bajeti ya
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni