Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline
Mabula akifungua rasmi mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika la
Nyumba la Taifa NHC uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye makao makuu ya
shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam ambapo alilipongeza shirika
hilo kwa kazi nzuri ambayo wafanyakazi wake wanaifanya kwani ndiyo
shirika pekee la Serikali linaloendeshwa kwa ufanisi mkubwa na kuiletea
heshima serikali, Waziri Mabula amewaambia wafanyakazi wa shirika hilo
pamoja na Menejimenti yake kuendelea na kazi nzuri ambayo wamekuwa
wakiifanya ili kuleta maendeleo zaidi nchini katika sekta ya nyumba.
PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula akifungua mkutano
wa baraza la wafanyakazi katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki
katikia makao makuu ya shirika hilo Apanga kulia ni Mkurugenzi wa
Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu na kushoto ni Adolf Kasegenya Katibu wa
Baraza la Wafanyakazi TAMICO NHC.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline
Mabula Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu kulia na
Adolf Kasegenya Katibu wa Baraza la Wafanyakazi TAMICO NHC kushoto
wakiimba wimbo wa wafanyakazi kabla ya kuanza kwa mkutano huo.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline
Mabula na Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu wakifurahia
jambo wakati wa mkutano huo.
Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline
Mabula akipitia nyaraka huku Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia
Mchechu akizungumza na wafanyakazi wa shirika hilo kabla ya kumkaribisha
ili kufungua rasmi mkutano huo.
Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu akizunguma na wafanyakazi wa shirika hilo kabla ya Waziri Angelina Mabula kuufungua rasmi.
Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu akisisitiza jambo wakai akizunguma na wafanyakazi wa shirika hilo kabla ya Naibu Waziri Angelina Mabula kuufungua rasmi.
Wafanyakazi wa shirika la Nyumba wakiimba wimbo wa wafanyakazi kabla ya kufunguliwa kwa mkutano huo.
Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Nehemia Mchechu na
Naibu Waziri Angelina Mabula wakiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa shirika hilo baada ya kuufungua rasmi mkutano huo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni